Skip to main content

Unafahamu kwamba galoni 3,170 zilitumika katika kutengeneza simujanja yako? Kila kifaa tunachotumia kilihusisha matumizi ya maji katika kutengenezwa kwake.

Tulimhoji Tom Freyberg, aliye mmoja wa wanahabari tajika zaidi wa sekta ya maji, ili kuzungumzia matumizi ya maji katika kuzalisha bidhaa na huduma tunazotumia, changamoto zinazoweza kutukumba katika siku za usoni kwa sababu ya uhaba wa maji, na jinsi tunavyoweza kuzitatua. Tazama mahojiano hayo ili kujifunza kuhusu hayo yote.

Kila bidhaa tunayotumia ilihusisha matumizi ya maji katika kutengenezwa kwayo. Hivyo basi, hii ni changamoto ambayo kamwe haitatuondokea.

Qatium

About Qatium